UAMINIFU ni kitu cha msingi sana katika maisha ya MWAMINI.
Iwe ni katika matakatifu ya MUNGU au katika mambo mengine tu ya kawaida.
UAMINIFU huvuta BARAKA zako mahali zilipo.
Ukitaka kujua hasara za kukosa UAMINIFU; muulize ANANIA wa Matendo sura ya Tano.