No copying

Tuesday, 24 October 2017

SHETANI HAJAFA.

Hapo mwanzo shetani alikuwa na nafasi nzuri sana mbele za MUNGU kabla hajamuasi MUNGU. Lakini baada ya kuasi kwa kiburi alichofanya mbele za MUNGU akatupwa chini (duniani).

Friday, 8 September 2017

UAMINIFU WAKO U-WAPI?


UAMINIFU ni kitu cha msingi sana katika maisha ya MWAMINI.
Iwe ni katika matakatifu ya MUNGU au katika mambo mengine tu ya kawaida.
UAMINIFU huvuta BARAKA zako mahali zilipo.
Ukitaka kujua hasara za kukosa UAMINIFU; muulize ANANIA wa Matendo sura ya Tano.

Thursday, 3 August 2017

MAMBO MANNE YAKUPASAYO KUFANYA/KUTENDA KATIKA WOKOVU WAKO.


UTANGULIZI:
Bwana YESU asifiwe sana wana wa  MUNGU. Leo nina ujumbe ambao unamuhusu kila mtu aliyeamua kuokoka na mwenye safari ya kwenda mbinguni. Yapo mambo mengi sana ambayo kila mwamini anatakiwa kufanya na kuyafuata yaani kuyaishi  katika wokovu wake. 

Sunday, 16 July 2017

ANZA KWANZA KUUTAWALA ULIMWENGU WA ROHO



Karibu mwana wa MUNGU tujifunze. Leo tunaangalia somo linasema KUUTAWALA KWANZA ULIMWENGU WA ROHO.
Nini maana ya ulimwengu wa roho?
Ulimwengu wa roho ni ulimwengu usioonekana kwa macho ya damu na nyama. Ulimwengu wa roho ni ulimwengu halisi kama ilivyo hii dunia. Mapepo, majini yanaishi katika huo ulimwengu ndiyo maana huwa hatuyaoni. Wachawi na waganga hufanikisha mambo yao kwa namna ya rohoni yaani katika ulimwengu wa roho.

Saturday, 3 June 2017

UMFANYIALO; LITAKUPATA

UMFANYIALO; LITAKUPATA.

Karibu mtu wa MUNGU tjifunze neno la MUNGU japo kwa ufupi.

Neno la MUNGU linasema katika ISAYA 👇👇👇

Saturday, 13 May 2017

ANZA SIKU YAKO VIZURI



Karibu tujifunze neon la MUNGU.
Kuna siku asubuhi nilikutana na mama mmoja jirani yangu. Kama kawaida huwezi kumpita mtu bila kumsalimia. Yafuatayo ndiyo tuliyoongea huku tumesimama kwa heshima:-

MANENO YANAUMBA


Karibu tujifunze neon la MUNGU.

Naomba tujifunze kwa habari ya maneno tunayotamka kila siku. Katika kinywa cha mtu asipokuwa makini, atakuwa anajibariki mwenyewe au atakuwa anajirahani mwenyewe.

Uwe makini sana kwa yale unayotamka, kwa maana maneno huumba. Tumeumbwa kwa mfano wa Mungu kiroho, Mungu aliumba kwa neno.

 

Top

Back To Top
 
Blogger Templates